Amos 1:5

5 aNitalivunja lango la Dameski;
nitamwangamiza mfalme aliyeko katika Bonde la Aveni,
Bonde la Aveni maana yake Bonde la Uovu.

na yeye ambaye anaishika fimbo ya utawala katika Beth-Edeni.
Watu wote wa Aramu watakwenda uhamishoni huko Kiri,”
asema Bwana.
Copyright information for SwhNEN